SW

Ufalme wa Merina

Ufalme wa Merina ni mlolongo wa watu ambao waliwahi kuwa watawala wa Bukini (sasa inafahamika zaidi kama Madagaska) katika kipindi cha miaka themanini kuanzia mwaka 1787 hadi mwaka 1897. Bendera ya Ufalme wa Merina Nembo ya Ufalme wa Merina Watawala hao walikuwa watu kutoka familia ya Andrianampoinimerina, mwanzilishi wa taifa hilo ambaye alikuwa ametokea katika […]

Continue Reading
SW

Taj Hotels Resorts

Taj Hotels Resorts &Palaces ni mlolongo wa hoteli za kimataifa. Kampuni ya Indian Hotels Limited na tanzu zake zote kwa jumla hujulikana kama Taj Hotels & Resorts & Palaces. Taj Hotels Resort & Palaces ni sehemu ya Tata Group, ambayo ni moja kati ya wanabiashara wakubwa nchini India, inajumuisha hoteli 76, majumba 7, visiwa 6 […]

Continue Reading
SW

Fathi Hassan

Hassan Fathi (kwa Kiarabu فتحي حسن) (alizaliwa 10 Mei 1957) ni msanii kutoka Afrika, mzaliwa wa familia ya Misri na Sudan, maarufu sana kwa ajili anayewakilisha kisasa ya sanaa African, anaishi kati ya Marekani na Italia[1]. . . . Fathi Hassan . . . Ni mmoja wa wasanii maarufu wa Afrika katika Ulaya, msanii wa […]

Continue Reading
SW

Hadiqa Kiani

Hadiqa Kiani (kwa Kiurdu: حدیقہ کیانی, TI (c); amezaliwa 11 Agosti1974) ni mwandishi wa nyimbo, mwimbaji, mpiga gitaa, mtunzi, na mfadhili wa nchini Pakistani. Amepokea tuzo nyingi za ndani na za kimataifa na pia ametumbuiza katika kumbi za kifahari zaidi ulimwenguni, ikiwemo Royal Albert Hall na The Kennedy Center.[1][2][3][4][5][6][7][8] ‘ Hadiqa Kiani Hadiqa Kiani, 2016 […]

Continue Reading
SW

Ziwa Eyre

Ziwa Eyre (hutamkwa “air”) ndilo eneo ambalo liko chini zaidi katika Australia, takribam 15 m (49 ft)(AHD) chini ya usawa wa bahari, na, wakati wa nadra linapojaa, ndilo ziwa kubwa zaidi katika Australia. Ndiyo kituo cha Bonde la Ziwa Eyre na hupatikana katika 700 km (435 mi)kaskazini kwa Adelaide. Kati Thanda–Lake Eyre Lake Eyre Mahali northern South Australia Aina […]

Continue Reading
SW

Uwemo wa Utatu Mtakatifu rohoni

Uwemo wa Utatu Mtakatifu rohoni mwa waadilifu wote wa duniani, toharani na mbinguni ndio chemchemi isiyoumbwa ya maisha ya Kiroho kadiri ya imani ya Wakatoliki, Waorthodoksi na wengineo. Elizabeti wa Utatu ni kati ya watakatifu waliofurahia zaidi uwemo wa Utatu Mtakatifu rohoni mwao. . . . Uwemo wa Utatu Mtakatifu rohoni . . . Kwanza […]

Continue Reading
SW

Maadili ya kiutu

Maadili ya kiutu ni yale yanayotakiwa kupatikana katika binadamu yeyote ili aweze kutenda kwa uadilifu kadiri ya utu wake unaomtofautisha na wanyama, yaani hasa akili inayomwezesha kufikiria na kuelewa maana na matokeo ya matendo yake. Maadili yakipambana na vilema, vioo vya rangi vya karne ya 14 katika Niederhaslach Church. Maadili bawaba Busara Haki Nguvu Kiasi […]

Continue Reading
SW

Konklevu

Konklevu (kutoka Kilatini “cum clave”, yaani “kwa ufunguo”, kupitia Kiingereza “conclave”) ni mkutano maalumu ya makardinali wote wenye umri chini ya miaka 80 unaofanyika ili kumchagua askofu wa Roma, maarufu kama Papa wa Kanisa Katoliki. Moshi mweusi kutoka Kikanisa cha Sisto IV ni ishara ya kwamba Papa mpya hajachaguliwa.[1] Moshi mweupe ni ishara ya kwamba […]

Continue Reading
SW

Chimamanda Ngozi Adichie

chimamanda Ngozi Adichie Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo: msamiati, sarufi au tahajia, mpangilio wa habari na muundo wa makala, kukosa jamii au kiungo cha interwiki. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama “google translation” […]

Continue Reading
SW

Chongqing

Chongqing (matamshi:ˌ|tʃ|ʊ|ŋ|ˈ|tʃ|ɪ|ŋ au |tʃ|ɔː|ŋ|-|,_|ˌ|tʃ|uː|ŋ|-,[4], pia: Chungking, Ch’ungk’ing, Ch’ung K’ing, Chongking, Ch’ung-ch’ing. Kifupi chake rasmi ni “Yu”[5] ni manispaa kubwa ya China[6]. Kwa sababu hiyo, pamoja na Beijing, Shanghai na Tianjin iko chini ya serikali kuu moja kwa moja. Mji wa Chongqing Kigezo:Raise [[Image:Kigezo:Maplink|250px|none|Location of Kigezo:Raise]] Location of Chongqing Municipality within China Location of Chongqing Municipality […]

Continue Reading
Back To Top