SW

Prima wa Abitina

Prima wa Abitina ni jina la mmojawapo katika kundi la Wakristo 49 ambao mwaka304, wakati wa dhuluma ya kaisariDiokletian, walihukumiwa kwa kuadhimisha Siku ya Bwana huko Abitinae[1][2][3], mji wa Afrika Kaskazini (leo Tunisia). Tarehe24 Februari mwaka 303, Diokletian alikuwa ametangaza hati yake ya kwanza dhidi ya Wakristo, akiagiza uteketezaji wa Biblia na maabadi ya Kikristo […]

Continue Reading
Back To Top